* Gawanya jina na muhtasari kwenye orodha ya apu kwa usomaji mzuri
* Apu zinazolenga SDK 24 hazipatani na vifaa vya Android 15
* Shughulikia vioo katika "Ongeza repo" onyesho la kukagua vyema (Asante Thore!)
* Wezesha masasisho ya apu ambazo hayajashughulikiwa kwenye vifaa vya Xiaomi ambazo hazikimbizi MIUI (Asante Irate!)
* Amini vyeti vya mzizi vilivyoongezwa na mtumiaji (Asante B.!)
* Boresha ujanibishaji kwa lugha zisizojulikana sana(Asante Ray!)
* Usijibu kwa tagi za NFC kwa sababu kipengele cha NFC ilitolewa (Asante Thibault!)
* Onyesha onyo wakati apu haziwezi kusakinishwa kutoka kwa repo inayopendelewa
