* Kichupo cha hivi karibuni kwa sasa inaangazia apu ambazo zinatoa maelezo, tafsiri, picha za skrini

* Pakuo za kiotomatiki kutoka kwa vioo, ili kuzidisha mbio za pakuo na kupunguza mzigo kwenye f-droid.org

* Lemaza vioo kutumia maswichi mapya katika Maelezo ya Ghala (#1696)

* Kuhifadhi kwa pakuo la ufanisi zaidi (kwa kila ghala; kwenye seva tofauti za wavuti #1708)

* Rekebisha masakinisho yanayohitaji vyanzo visivyojulikana na ugani wa upendeleo (#1702)

* Rekebisha ikoni zinazokosa kwa zile hazitumii Wi-Fi (#1592)

* Tafsiri zilizoboreshwa kwa kichupo cha masasisho dhidi ya upendeleo
