* Swichi zilizoongezwa kwa Maelezo ya ghala ili kuzima vioo vyote ama vyovyote (#1696)

* Chaguo la kioo cha nasibu kwa kila pakuo la kifurushi/APK

* Pakuo za APK zote inahifadhiwa kwa kila ghala, sio kwa kioo

* Shughulikia tagi za E za Apache na NGINX wakati unaangalia ikiwa index ni ya sasa (#1708)
