* Kubadilishana kutumia kadi za SD inaungwa mkono

* Marekebisho ya hitilafu na maboresho ya Swap ya karibu

* Maboresho ya mbali zaidi ya "Maelezo ya apu"

* Sasisha lugha na tafsiri kuhusu Karibu na Badilisha

* Mantiki ya uteuzi ya ikoni ya apu iliyoboreshwa

* Ongeza repos kutumia additional_repos.xml iliyojengwa-ndani kutoka ROM, OEM, vendor.

* Onyesha toleoMsimbo katika ingizo za orodha ya matoleo katika hali ya mtaalam
