* Msaada kusakinisha faili za media, OTA,ZIP, na kadhalika

* Msaada kamili kwa APK zilizosainiwa na funguo nyingi za kusaini

* Tafsiri mpya wa Tibetian

* Ondoa apu na kategoria zinazohusiana na baada ya kuzima repo
