* Marekebisho makubwa ya kushughulikia repo na kioo, zote UX na msimbo

* Onyesha onyesho la kukagua kwa repos mpya

* Kusakinisha na F-Droid na F-Droid Basic kwa sasa inakubali masasisho ya kiotomatiki ya usuli

* Kwenye Android 14, sahihisha apu na toleo la SDK iliyolengwa ambayo haiungwi mkono kama zisizopatana #2692

* Bonyeza kwa muda mrefu ili kunakili viungo, Ruhusa na matoleo kwenye skrini ya maelezo ya Apu (@Tobias_Groza)

* Apu zisizopatana inaonyeshwa pekee wakati imekubaliwa kwenye Mipangilio #41 (@pigpig)

* Mipangilio mpya ya IPFS Gateways

* Uchaguzi wa lugha kwa kila apu (@Licaon-Kter)
