* Imerekebisha kutumia ghala na vioo kutoka kwa Hifadhi ya Nje kwenye matoleo ya hivi karibuni ya Android
* Imeboresha usimamizi wa WiFi katika Nearby
* Upau huo wa urambizaji sasa inakumbuka msimamo wake hata kama F-Droid inaanza tena
* Lugha mpya: Swahili
* Rekebisha kupakua mapicha kwa ghala ambazo bado zinatumia faharasa-v1
* Rekebisha ajali zinazohusiana na badilisha, kusimamia ghala na mengi
* Kitufe hicho cha punguza ilitolewa, Android tena haikubali hio
