* Marekebisho ya hitilafu nyingi
* Onyesha ikoni za ghala katika orodha ya ghala
* Onyesha sababu za Vipengele vya kukwaza (pale vinavyopatikana)
* Maboresho ambayo hayajashughulikiwa bila kiendelezi kilichopendelewa (F-Droid Msingi kwa sasa pekee)
* Onyesha saizi ya apu kwenye skrini ya maelezo ya apu (hali ya mtaalam pekee)
* Jina za apu iliyo giza kidogo katika orodha ya apu ili kuboresha usomaji
* Rejesha ilivyokuwa hali ya fungua/funga ya "Sasisha zote" katika kichupo cha masasisho (@tunedal)
* Rejesha ilivyokuwa kichupo inayotumika kati ya kuanza tena kwa apu
