* Rekebisha kiukubwa menyu ya Share kutumia chaguo la kujengwa-ndani kama Nearby

* Mtiririko wa kazi ya Nearby ulioboreshwa na urambizaji ulio na wingi wa marekebisho ya hitilafu

* Maboresho ya Material design (@proletarius101)

* Apu bila ikoni ya apu ya PNG kwa sasa inaonyesha katika kichupo cha hivi karibuni (@ashutoshgngwr)

* Usamimizi mzuri wa ikoni na mipangilio wa Data/Wifi uliopunguzwa

* Unga mkono skana nyingi ya msimbo wa upau (@Lugerun)

* Kubali kuchagua Vipengele Visivyopendelewa vipi vya kuonyeshwa

* Zuia kuongeza ghala wakati msimamizi wa kifaa amekataa "Vyanzo Visivyojulikana"

* Ondoa mpangilio wa "Kubali maombi ya Kusukuma"
