* Msaada wa mandhari imefungwa kwa mandhari ya Android iliyojengwa-ndani (@proletarius101)

* Arifa za mabango ya juu mpya: "Hakuna mtandao" na "Hakuna Data au Wifi imewezeshwa"

* Kushughulikia ulioboreshwa ya USB-OTG na ghala na vioo vya Kadi ya SD

* Simamisha masasisho ya mara kwa mara ya Maktaba ya Trichrome

* Madabiliko mengi kufuata Material Design (@proletarius101)

* Boresha beji ya OpenCollective (@ConnyDuck)

* Marekebisho makubwa ya upakiaji wa ikoni kutumia Glide (@proletarius101)

* Ikoni mpya ya kubadilika (@12people)

* kufanyia kisasa msimbo (@Isira-Seneviratne)
