* Ujanibishaji wa maelezo ya apu inaheshimu kamili orodha katika Mipangilio ya lugha ya Android

* Kichupo cha hivi karibuni inaonyesha apu kulingana na mipangilio ya lugha, imepangwa kipya kwanza (@TheLastProject @IzzySoft)

* Matokeo ya kutafuta imeboreshwa mno (@Tvax @gcbrown76)

* Kusafisha kache ya kuaminika zaidi

* Ratibisha kwa ufanisi usafisho wa kache (@Isira-Seneviratne)

* Rekebisha kwa ukubwa uchanganuzi wa URL ya ghala kwa uongezaji wa repo unaotegemewa

* Jijumuishe kwa vipimo vya metrics vya F-Droid
