F-Droid ni 1.0!

* Toleo hili linajumuisha wingi wa mabadiliko makubwa:

* Mtiririko wa kazi wenye marekebisho makubwa kamili ya kusasisha api

* Maelezo na muhtasari wa apu inayoweza kutafsiriwa kikamilifu

* Sehemu ya "Ni kipi kipya" ili kuonyesha mabadiliko kwenye toleo la sasa

* Picha za skrini na michoro ya kipengele

* Saidia kusakinisha faili za media, OTA, ZIP, na kadhalika

* Kinga iliyoboreshwa dhidi ya kufuatilia (HTTP ETag, TLS, na kadhalika.)

* Masasisho yaliyo kamili ya usuli na Kiendelezi kilichopendelewa

* Angazia michango kwa wasanidi wa apu

* Masasisho ya faharisi ya haraka zaidi
